Raisi
Kikwete akiwa na Mkuu wa majeshi katika maadhimisho ya siku ya mshujaa
ambayo kitaifa yamefanyika jijini Dar Es Salaam kwenye viwanja vya mnazi
mmoja.
Kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania
Gwaride likiendelea kwenye viwanja hivyo
Raisi Kikwete akiingia kwenye viwanja vya mnazi mmoja akiwa na mkuu wa majeshi
No comments:
Post a Comment