Friday, July 11, 2014

KAMPUNI YA MABASI YA RATCO YALETA MABASI YENYE TV KILA SITI



RATCO ni mabasi yanayofanya safari za Tanga ambapo sasa wameamua kufanya kufuru kwa kuleta mabasi yenye Televisheni katika kila kiti cha abiria. Waendao Tanga kazi kwenu. Pia magari hayo yana soketi za umeme katika kila kiti ambapo abiria anaweza kuchaji simu yake wakati safari inaendelea.

No comments:

Zilizosomwa zaidi