![]() |
Inspector
Henry akiwasihi mahabusu hao wawili wanaotuhumiwa kwa kesi za mauaji, kuachia
mlingoti wa Bendera ya Taifa na kurudi kwenye chumba cha mahakama kwaajiri ya
taratibu za kesi.
|
![]() |
![]() |
Mahabusu
Thobiasi Warioba (aliye mtupu) pamoja na mwenzake Hamis Ramadhani katu katu
waking'ang'ania mlingoti wa bendera ya Taifa huku wakishinikiza kuzungumza na
waandishi wa Habari.
|
![]() |
Wananchi
wamefurika viwanja vya mahakama kushuhudia tukio hilo la Mei 07,2014..........
|
![]() |
Baada ya
kuzungumza na waandishi wa habari mahabusu hao walikubali kurejea chumba cha
Mahakama.
|
![]() |
Wananchi wamefurika viwanja vya mahakama kushuhudia tukio hilo la Mei 07,2014......... |
No comments:
Post a Comment