Wednesday, May 7, 2014

HII NI TAARIFA KUHUSU MLIPUKO WA BOMU KANISA LA KKKT JIJINI MWANZA


Bomu hilo lilifungwa kama zawadi na kuachwa ofisi ya askofu wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri mjini Mwanza KKKT.
Aliyejeruhiwa na Sekretari wa Askofu aliyetaka kujua ni zawadi gani iliyosahaulika Ofisini kwake siku tatu?
Kufungua Bomu likalipuka na akajikuta Bugando Hospital alipopata fahamu.

No comments:

Zilizosomwa zaidi