Saturday, March 22, 2014

HIZI NI PICHA ZA MAANDALIZI YA KIPINDI CHA "YOUTH TALK" CHA SAUTV-MWANZA

Raymond Mhaluka akihakikisha kamera haitetereki
Monica Alfonce & Jaqueline Shuma wakisikiliza jambo kwa makini
Katikati ni Mr Kinye-Mhadhiri akiwaelekeza vijana wangu, kutoka kushoto ni Philemon Anceth, Said Mwingiliko na mwana dada Stella Msangulla


             Yona Haji akiahakikisha mambo yanaenda sawa
                                               Mr Gilbert akijadili jambo

                 Mr Godfrey Mbai & Mr Raymond Mhaluka
Mkurugenzi na Mmiliki wa farajadogeje blog akitoa maelekezo kama Director wa kipindi

Wakati kipindi kinaendelea sasa, kutoka kulia ni Mr Jotta-Mhadhiri SAUT, Mr. Maapa-mwanafunzi na mjasiriamali, Ms. Auleria-Mwanafunzi na mjasiriamali, Gilbert Magnus-Host wa kipindi


                         Ms Farida akiset mambo ya mwanga nk.

No comments:

Zilizosomwa zaidi