Sunday, March 9, 2014

HIVI NDIVYO SIKU YA WANAWAKE ILIVYOADHIMISHWA KATIKA UKUMBI WA NYANZA JIJINI MWANZA

VIJANA WAKIANDAA JUKWAA KABLA YA MAADHIMISHO KUANZA
 
BAADHI YA WANAWAKE WAKIMSILIZA KWA UMAKINI MKURUGENZI MSTAAFU WA KIVULINI




BAADHI YA MABINTI WALIOFIKA KUADHIMISHA SIKU YA MWANAMKE




WANAUME NAO HAWAKUBAKI NYUMA KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MWANAMKE

HEKAHEKA ZA KUSHEREHEKEA SIKU YA MWANAMKE
MKURUGENZI MSTAAFU WA KIVULINI BI. MAIMUNA KANYAMALA AKITOA UJUMBE WA SIKU HIYO YA MWANAMKE
WANAFUNZI WA SAUT WALIOFIKA KATIKA KUADHIMISHA SIKU YA MWANAMKE
PICHA ZOTE: DJ FAR

No comments:

Zilizosomwa zaidi