*Wasiliana nasi: Simu : 0713-914 416 , E-mail: fdogeje@gmail.com
Pages
Home
National/Local
Sports & Intertainment
Bussiness
Photos
TANGAZA NASI HAPA
Monday, February 10, 2014
BREAKING NEWS:MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA
Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara
Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.
Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru
Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
KESI YA KAJALA KUANZA UPYA.....
Kajala Masanja. Pamoja na kutoa faini ya Sh. milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake wa filamu, Wema Isaac Sepetu, Kajala anat...
MATOKEO YA AWALI JIMBONI KALENGA
Matokeo karibu yote yamekwisha kamilika nasi tunamsubiri msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Kalenga Bi Pudensiana Kisaka kumtangaza mshindi a...
Tayari mvua zimeanza kunyesha mkoani mwanza. Baadhi ya wakazi jijini Mwanza wamesema kuwa mwaka huu mvua zimeanza kunyesha mapema na hivyo hawana budi kuanza kuandaa mashamba kwa ajiri ya kupanda mazao.
Mahakama kuu Kisutu kumwachia huru prof Costa Maharu na Grace. Ni katika kesi ya kuisababishia serikari hasara ya euro million 7. Maharu amewaomba wananchi kusoma kitabu cha dini (Biblia) Zaburi ya 17.
HABARI KUU KWENYE KURASA ZA MAGAZETI YA LEO JUMANNE TAREHE 13 SEPTEMBER
No comments:
Post a Comment