

























| Mwandishi Huyu alitambulika kwa jina la Issa Ngumba, mfanyakazi wa kitu cha Redio Kwizera yenye makao yake makuu mjini Ngara mkoani Kagera. Ngumba alikuwa akifanya kazi katika wilaya ya Kakonko mkoani kigoma. Mazishi yake yamefanyika jana huko Kakonko | ||||||||||||