Baada ya kufanya uchunguzi kwa mda mrefu sasa imebainika kuwa Mwanaume Humpenda Mwanamke kuanzia asilimia 100% na kushuka hadi Asilimia 0%
Wakati Mwanaume anampenda mwanamke kiivo, Mwanamke yeye huanza kumpenda mwanaume kuanzia asilimia 0% na kupanda hadi asilimia 100%
Hii ni baada ya kugundua kuwa mahusiano ya walio wengi huwa katika hali mbaya baada ya kuishi kwa mda mrefu katika mahusiano.
Wakati mwanaume anamwona mwanamke huwa na asilimia 100% wakati mwanamke yuko na asilimia 0% ndipo mwanaume hutumia njia mbalimbali kuweza kumshawishi mwanamke kuingia katika mahusiano na ndipo mahusiano yanaanza wakati woe sasa wako katika aslimia 50% na hapo ndipo mapenzi mashamshamu huanza kabisa.
Wakati mapenzi yakiendelea hapa mwanaume asilimia za kumpenda mwanamke zinakuwa zinashuka wakati silimia za mwanamke zinapanda na ndipo Wanawake wengi huanza kuona maisha katika mahusiano ni magumu kupita maelezo.
No comments:
Post a Comment