Saturday, October 26, 2013

HII NDIO HALI DUNI A AFYA NCHINI.


Wagonjwa wakiwa wamepumzika katika mazingira duni sana ndani ya moja ya zahanati za umma zilizoko maeneo ya vijijini. Wengi wako katika hatari kubwa kwani uchunguzi wa Mwananchi unaonyesha mfumo mzima wa kitabibu Tanzania umeoza, huku wagonjwa wakitumbukia katika makucha ya madaktari na wafamasia feki, wanaotoa vipimo visivyofaa, na dawa zisizokidhi viwango

No comments:

Zilizosomwa zaidi