Hawa ni vijana 11 wa kitanzania ambao walikamatwa na jeshi la polisi Mtwara baada ya kupata taarifa kwamba walikua
wakifanya mazoezi ya kivita kwa kutumia CD za Al
Qaeda na Al Shabaab ambapo walikamatwa na hizo CD pamoja na silaha mbalimbali kama ushahidi...
Taarifa ya jeshi la Polisi leo imesema kuwa , vijana hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.
Taarifa ya jeshi la Polisi leo imesema kuwa , vijana hawa walipelekwa Mahakamani na watarudishwa tena tarehe 4 November 2013.
No comments:
Post a Comment