Ikiwa ni siku chache tangu tusikie ngoma ya Diamond Nikifa kesho iliyotengenezwa
na prodyuza Manecky wa AM Record na kupitia mitandao mbalimbali na watu
kuanza kuzungumzia sana ngoma hiyo,leo Diamond ameibuka na kuandika
malalamiko yake kwa prodyuza huyo aliyemtuhumu kuvujisha wimbo huo
kupitia Instagram na website yake japo hakumtaja jina.
Wimbo huo ulipooonekana tu katika you tube umeshapata viewers wengi sasa ikiwa umeingizwa siku chache tu! Cheki alivyofunguka.
Kuvujisha Nyimbo yangu hakuwezi kunipunguzia
wala Kunidhuru chochote... Sanasana utanizidishia
Umaarufu na kunipa Show zaidi... Kama nimeacha kurecord nyimbo
Studio kwako Uspanick, Relax.. tafta Msanii mwingine
Mkali zaidi yangu umrecordie Ngoma Ahit kushinda mimi...
.ila Kuvujisha Unajisumbua bure!
Hisia zangu za pelekea kuandika haya nikiwa na uzuni
ndani yake kwa kuwa muda nilioutmia na akili nliotumia
dhairi ni Mungu Pekee anajua ndio Maana aina budi
namwachia Mungu pia....Imani iliyo ndani yangu nikiamini
kuwa kutoa ya Moyoni uufanya Moyo kujengeka
Upya,Mwenyezi Mungu Atanijenga Upya na kuwaandalia kitu kipya hiv
karibun.Hii ni changamoto kwangu na Kuweza
kujua sheria na katiba za Muziki wangu na
kusimamia Haki zangu...... Nawapenda Sana Mashabiki Zangu..... #WCB #CocaBoy for Life

Hii si mara ya kwanza kwa Diamond kulalamikia nyimbo zake kuvujishwa
kabla hajaamua kuachia rasmi,kama ilivyokuwa kwa ukimwona ambayo alidai
ilivuja baada ya kupoteza simu yake
No comments:
Post a Comment