Tuesday, October 29, 2013

DEREVA BODA BODA AMGONGA MAMA MJAMZITO


Wasamaria wema wakimpepea.


...Akiwa hoi.



Akisogezwa pembeni ya barabara.


Dereva wa bodaboda akiwa amezimika.

Dereva wa bodaboda aina ya Bajaj Boxer yenye namba za usajili T 344 CDJ ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja muda si mrefu amepata ajali na kuzirai baada ya kumgonga mama mjamzito aliyekuwa akikatisha barabara eneo la Kigogo Luhanga bodaboda jijini Dar es Salaam. Mama huyo anayedaiwa kuwa chanzo cha ajali hiyo alitoka mbio baada ya msala huo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi