Binti wa miaka 14 akiwa na mtoto wake katika Manispaa ya Moshi.Picha ya Maktba. |
Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni ndivyo ilivyotokea kwa mtoto wa miaka miwili ambaye amejifungua mtoto.
Mtoto huyo aliyefahamika kama Xiao Feng alijifungua kwa njia ya upasuaji katika hospit ali moja mjini Xuaxi nchini China.
Kwa mujibu wa taarifa, madaktari waligundua kuwa mtoto Xiao alikuwa na mimba baada ya kupelekwa na mama yake.
Awali mzazi wake huyo aligundua kuwa tumbo la binti yake lilikuwa kubwa isivyo kawaida hivyo alimpekeka hospitali kujua kulikoni.
Nao matabibu hao wakafanya kazi yao ya kumpiga picha za mionzi ya jua ‘x-rays’ na kubaini mtoto huyo alikuwa amebeba mwenzake tumboni.
Walimfanyia upasuaji ambao ulimalizika kwa mtoto huyo kuzaa watoto pacha..

No comments:
Post a Comment