Irene Uwoya amejibu mapigo ya kudaiwa kuiba simu aina ya iphone
5 toleo jipya la mwaka huu ambapo habari hiyo iliripotiwa jana katika gazeti la
Risasi na kutawala mitandao mingi ya kijamii.
Katika utetezi wake alioutoa kupitia ukurasa wake instagram, Irene Uwoya amesema kuwa chanzo cha
kuandikwa hivyo ni kuvunjwa nguvu katika harakati zake za kesi
aliyomfungulia Shigongo
"Mi ni mti wenye matunda
milele siogopi kupigwa mawe…
"Shigongo kaamua kunichafua coz nina kesi nae
mahakamani…anadhani nitaiacha never yeye aponde anavyoweza ila mwisho
wa siku sheria itafuata mkondo wake….
"Mi na yake mengi nayajua ila ngoja
ninyamaze nisimwagiwe tindikali"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Chris Walton mwenye umri wa miaka 47 ndiye mwanamke mwenye kucha ndefu zaidi duniani zenye urefu unaozidi futi 20, hajawahi kuz...
-
Matokeo ya kidato cha pili yametangazwa leo na Naibu waziri wa Elimu Bw.Philip Mulugo kupitia vyombo vya habari na yako hivi: Wal...
-
Ajali mbaya imetokea mchana wa leo katika eneo Mbwewe Bagamoyo ikihusisha bus la kampuni ya Meridian lililokuwa likisafirish...
-
-
No comments:
Post a Comment