Jana
zilisambaa habari kwamba masanja mkandamizaji na msanii Diamond
wamedakwa na polisi na passport zao za kusafiria zimezuiwa....
Taarifa
hizo zimemfanya Masanja afunguke na kudai kwamba habari hizo
si za kweli, ni habari zenye lengo la kumchafulia jina.
Masanja ameenda mbali zaidi na kudai kwamba yeye ni mtumishi wa mungu, yeye ni mjasiliamali na ni mkulima pia.
Mali
alizonazo zinatokana na juhudi zake za kazi. TBC wanamlipa
milioni 5 kwa mwezi.Stoo ana magunia ya mpunga zaidi ya 1000
na kila gunia linauzwa zaidi ya 200,000.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
-
Unyama zaidi umebainika katika taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuhu...
-
-
Watu wawili wamefariki dunia papo hapo na wengine tisa kujeruhiwa baada ya gari ndogo waliokuwa wakisafiria kuacha njia na kupinduka huko k...

No comments:
Post a Comment