Monday, September 2, 2013

FRANCIS CHEKA APOKEWA MOROGORO KWA SHANGWE NYINGI


 Cheka akishuka kwenye VX nyeupe aliyosafiri nayo toka Dar mpaka Moro na kuingia kwenye gari ya wazi eneo la Nane Nane tayari kwa msafari wa kuelekea katikatika ya mji wa Morogoro
 Mmoja wa wafadhi wa Cheka Bw Machange[kushoto] ambaye kwenye mapokezi hayo alitoa magari yake 4 yakiwemo hayo mawili yanayyonekana pichani 
 Cheka akinyanyua mkanda aliokabidhiwa Agost 30 baada ya kumtwanga Mmarekani Phil William  mbele ya kamera za Mtandao huu jana jioni muda mfupi baada ya kuwasiji mkoani Morogoro
                 Msafara kuelekea katikatika ya mji ukiendelea

Cheka akizungumza na umati mkubwa wa watu uliofulika kwenye ukumbi wa Old Vai jana majira ya saa 12 jioni kwenye mapokezi hayo ya Cheka kulikuwa na vituko kibao kikiwemo cha mlemavu wa miguu aliyenusurika kugongwa na gari alipotaka kumshika mkono Cheka baada ya kuona tukuo hilo Cheka alisimamisha msafara huo na kumshika mkono mlemavu huyo kwa habari

No comments:

Zilizosomwa zaidi