Mahakama kuu ya kimataifa ya Makosa ya jinai ICC, inaanza kesho tar 10 September 2013 kusikiliza kesi za watuhumiwa wa makosa ya jinai ambapo Rais wa jamuhui ya kenya Ndugu Uhuru Kenyatta na makamu wake Ruto watahusika.
Wakati hilo linasubiliwa, gazeti la Daily Nation la nchini Kenya Hivi nvyo limetoka siku ya leo.
No comments:
Post a Comment