Tuesday, September 24, 2013

BASI LA SAIBABA LAGONGANA USO KWA USO NA LORI, 3 WAJERUHIWA, WENGINE 50 WANUSURIKA

ajali 7f5dd
Lori la Kampuni ya Ivory lililogongana uso kwa uso na Basi la Sai baba (HM)
ajali2 a0dc1
Askari wa usalama barabarani Iringa wakilitazama basi la kampuni ya Sai - baba Express lenye namba za Usajili T 668 BCD ambalo liligongana uso kwa uso na lori la kampuni ya Ivori lenye namba T 280 ADK eneo la Kibwabwa katika barabara kuu ya Mbeya - Iringa jana na watu zaidi ya watatu kujeruhiwa vibaya na wengine zaidi ya 50 ambao ni abiria wa basi hilo kunusurika kifo
ajali3 f85f7
Baadhi ya Abiria waliokuwa kwenye basi hilo

No comments: