Tuesday, September 24, 2013

WAKATI FIESTA IKISOGEA KANDA YA ZIWA..HAYA NDIO YALIJIRI PANDE ZA SHINYANGA

nature b4793
Kundi la Wanaume TMK-Halisi likiongozwa na Sir Juma Nature wakilishambulia jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya uwanja wa Kambaraje. (HM)

fiesta2 8543e
Mashabiki wakifurahia muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali
fiesta 1df6c
Wanaume TMK wakiongozwa na Chege na Temba

linah ebfbd
Linah Sanga akiimba na shabiki.

No comments: