Sunday, August 25, 2013

MBOWE, LISSU NA VIONGOZI WENGINE WACHADEMA WAKAMATWA NA POLISI,SOMA HAPA

Viongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA), MH MBOWE NA TUNDU LISSU wanashikiliwa na polisi mkoani Iringa kwa tuhuma za uvunjifu wa amani.

Viongozi hao wamekamatwa kwa kosa kutofuata ratiba waliyopewa na polisi ambayo iliwataka waanze mkutano wao saa 7 lakin wao walianza 10:30 na pia kutoa maneno ambayo yaliashiria uvunjifu wa amani.
 
Viongozi hawa wamekamatwa asubuh  ya leo hii katika Hoteli waliyokuwa wamefikia mjini IRINGA

No comments:

Zilizosomwa zaidi