Ajali mbaya imetokea mchana wa leo katika eneo Mbwewe Bagamoyo ikihusisha bus la kampuni ya Meridian lililokuwa likisafirisha abiria kutokea Rombo kuelekea Dares salaam.
Baadhi ya watu wanasadikiwa kupoteza maisha katika ajari hiyo...
Hapa ni baadhi ya abiria waliosalimika wakijaribu kutafuta mizigo yao
No comments:
Post a Comment