
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na mwenyekiti
wa chama hicho Profesa Ibrahim Lipumba alipokuwa akizungumza na
waandishi wa habari kuhusu tukio la kupigwa risasi kwa sheikh Ponda Issa
Ponda huko mjini Morogoro .
Aidha Profesa Lipumba amesema amefanikiwa kwenda
kumuona katika hospital ya taifa Muhimbili na kusema amepigwa risasi
bega la kulia.
Chanzo ITV
No comments:
Post a Comment