HAPA AKISAINI KITABU CHA WAGENI KATIKA OFISI YA AFISA MTENDAJI KATA YA MAJENGO MBEYA
HAPA AKIPATA MAELEZO YA KINA JUU YA UJENZI WA MSIKITI ULIOPO MAJENGO MBEYA KUTOKA KWA SHEHE HASSAN KUCHINJA
DR.MARYAKISIKILIZA MAELEZO JUU YA MSIKITI HUO
DR.MARY WAKIWA NDANI YA MSIKITI HUO
DR.MARY AKIWA NA VIONGOZI WA DINI CHAMA NA SERIKALI WAKIELEKEA KATIKA VIWANJA VYA SHULE MAJENGO KWA AJILI YA MKUTANO MFUPI PAMOJA NA KUKABIDHI MSAADA HUO KWA AJILI YA KUJENGA MSIKITI WA MAJENGO
WANANCHI MBALIMBALI WA KATA YA MAJENGO JIJINI MBEYA WAKIWA KATIKA MKUTANO MFUPI ULIO ANDALIWA KWA AJILI YA KUPOKEA MSAADA WA MABATI KWA AJILI YA UJENZI WA MSIKITI ULIOPO KATIKA KATA HIYO
BAADHI YA VIONGOZI WA CHAMA ,SERIKALI NA WAZEE WAKIWA KATIKA MKUTANO HUO
MUHESHIMIWA DIWANI WA KATA YA MAJENGO JIJINI MBEYASAMWEL MWAMBOMA (ALIYE SIMAMA) AKIMKARIBIASHA MGENI RASMI DR.MARY MWANJELWA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI M-NEC TAIFA ILI AWEZE KUZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAJENGO NA MAENEO YA JIRANI WALIOFIKA KATIKA MKUTANO HUO
DR.MARY AKIWASALIMIA WANANCHI WA KATA YA MAJENGO
AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KATA YA MAJENGO , PAMOJA NA HAYO ALIWAPONGEZA WAUMINI WA DINI YA KISLAM KWA HATUA WALIO ICHUKUA KUJENGA MSIKITI KATIKA ENEO HILO ILI NAO WAPATE KUWA NA NYUMBA YA IBADA, ALIWASHUKURU WATU MBALIMBALI KWA KUTOA MISAADA MBALIMBALI ILI KUKAMILISHA UJENZI WA NSUKITI HUO MAPEMA. PIA ALIWATAKA WANANCHI MBALIMBALI KUWA NA AMANI,MSHIKAMANO NA UPENDO
MWANJELWA ALIWATAKA AKINA MAMA, WAZEE WASTAAFU PAMOJA NA VIJANA KUUNDA VIKUNDI MBALIMBALI ILI KUWEZA KUJIKWAMUA NA KUONDOKANA NA UMASIKINI .
HAPA AKIHIMIZA JAMBO WAKATI WA MKUTANO HUO
AKIKABIDHI MIPIRA MIWILI KWA AJILI YA TIMU YA VIJANA ILIYOPO MAJENGO
AKIWAPONGEZA VIJANA HAO KWA AJILI YA TIMU YAO
AKIUNGANA NA WANANCHI WOTE KUFUNGA MKUTANO HUO KWA DUA
WAZEE MBALIMBALI WAKIWA WANAMSHUKURU DR.MARY MWANJELWA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI M-NEC TAIFA KWA KUFIKA KATIKA KATA YA MAJENGO JIJINI MBEYA, NA KUMSHUKURU KWA KUSIKILIZA BAADHI YA MAMBO YAO AMBAYO WALIYAZUNGUMZIA.
PICHA YA PAMOJA NA VIONGONGOZI MBALIMBALI WA DINI, SERIKALI NA WANANCHI WA MAJENGO
PICHA ZOTE NA MBEYA YETU
No comments:
Post a Comment