MTU
ANAESADIKIWA KUWA NDIE MUUAJI WA PADRI EVALIST MUSHI WA KANISA
KATOLIKI,VISIWANI ZANZIBAR,AMEKAMATWA ALASILI HII MAENEO YA
KARIAKOO,ZANZIBAR.
JESHI LA POLISI LIMETHIBITISHA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA HUYO,NA KWENDA NAE KITUONI KWA AJILI YA MAHOJIANO ZAIDI.
PADRI
MUSHI ALIUWAWA KWA KUPIGWA RISASI MWEZI ULIOPITWA WAKATI AKIWA KWENYE
GARI LAKE KUELEKEA KANISANI KWENYE IBADA YA JUMAPILI.
UTAPATA TAARIFA HII KWA KINA ZAIDI.
CHANZO: Michuzi blog
No comments:
Post a Comment