Kikosi cha Mass communication United wakiwa tayari kucheza na watoto wa Cheti |
Mass Communication United wameingia katika michuano hii kwa mwaka huu wakiwa na kumbukumbu ya kujinyakulia nafasi ya pili kwa msimu wa mwaka jana.
Akiongea Maneger wa timu hiyo Mr. Charz, amesema kwa mwaka huu wamejipanga vizuri kabisa kwa kulitwaa kombe.''Tangu tulivyoanza mashiundano tumepoteza mechi moja''
Goli kipa wa timu ya Mass communication(Abuu Juma) wakati wa mazoezi |
Baadhi ya mashsbiki kutoka Mass Communication 2 |
Meneja wa timu ya Mass Communication akiwangalia vijana wake |
Baadhi ya wachezaji wakisubili kuingia(Sub) |
Hawa ni mashabiki wakiamsha amsha wakati mchezo unaendelea |
No comments:
Post a Comment