Wema Sepetu leo amejizolea umaarufu wa kutosha baada ya kutoa mfukoni mwake shilingi
milioni 13 kulipa faini aliyopigwa muigizaji mwenzie Kajala Masanja ambaye hukumu yake ilikuwa imetolewa kwenda jela miaka mitano ama kulipa kiasi hicho cha
fedha.
Kajala na Wema wakikumbatiana
Akiongea kwa kujiamini, Wema amesema hakufikiria mara mbili kutoa kiasi hicho cha fedha.
“Kusema kweli wanasemaga kwamba kutoa ni moyo so naamini what I did is best, nimetoa kwasababu I had to do it and sikuthink twice kuhusu kufanya hivyo,”

“Kusema kweli wanasemaga kwamba kutoa ni moyo so naamini what I did is best, nimetoa kwasababu I had to do it and sikuthink twice kuhusu kufanya hivyo,”
amesema Wema.
Wema akiwa na Kajala
“Nimefanya kama namsaidia rafiki yangu, ndugu yangu na
sidhani kama ingekuwa ni kitu kizuri kumuona mwenzako anaingia kwenye
dhahama, kwenye tabu, kwenye mateso na wakati nina uwezo wa kumsaidia
kwahiyo I just did what I had to do.”
Kuachiwa kwa Kajala kumepokelewa kwa furaha kubwa na mastaa mbalimbali nchini.
Kajala akikumbatiana na Zamaradi

Kuachiwa kwa Kajala kumepokelewa kwa furaha kubwa na mastaa mbalimbali nchini.

No comments:
Post a Comment