Serikali kwa
kupitia Wizara ya Elimu
imefanya mabadiliko kwenye Madaraja ya
alama za
mitihani ya kidato cha nne.
Hapo
awali Madaraja yalikuwa hivi;
A = 81% - 100%
B = 61% - 80%
C = 41% - 60%
D = 21% - 40%
F = 0% - 20%
Mabadiliko
mapya yamefanywa na sasa
Madaraja MAPYA ni kama ifuatavyo:
A = 80% - 100%
B = 65% - 79%
C = 50% - 64%
D = 35% - 49%
F = 0% - 34%
Taarifa
imetolewa mapema ili wanafunzi kwa
kidato cha nne waanze kujiandaa vyema na
mitihani ijayo.
No comments:
Post a Comment