ya kuwa wanawake wamepewa fursa za wazi kabisa kisheria katika
kumiliki ardhi, bado umiliki wa ardhi ni mdogo sana nchini.
Kauli hiyo imetolewa leo wakati wa semina ya Chama Cha Wanawake
nchini (TAWLA) juu ya umiliki wa ardhi kwa wanawake na uwekezaji
iliyofanyika jijini Dar es salaam.
Naibu waziri huyo amesema kutokana na muamko mdogo wa wanawake
kumiliki ardhi kwa kiasi cha juu, ndio kunawafanya washindwe kutumia
fursa za kisheria za kumiliki ardhi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
Kesi iliyokuwa inamkabiri mwenyekiti wa zamani wa chama cha CUF Pro Ibrahim Lipumba na baadhi ya wafuasi wa CUF kwa kosa la kuandamana bila...
-
Zaidi ya watu 32 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali baada ya basi la abilia la kampuni nya TAQ BIR lililokuwa linaelekea Mwanza kutoke...
-
-
Ajabu na kweli, katika ajari hiyo hapana mtu aliyepoteza maisha
-
Dakika 90 za mchezo Simba Sc 0-0 Coastal Union
No comments:
Post a Comment