WATU wawili wamefariki dunia na
wengine 36 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya Bunda Express lenye namba za usajili T 782 BKZ, likitokea Musoma kuelekea Mwanza kuacha njia na kupinduka katika kijiji cha
Ngashe kata ya Kahangara wilayani Magu mkoani Mwanza. Ajari hii imetokea wakati mvua kubwa ilikuwa ikinyesha.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
(Kutoka kwa Nathani)
-
MTU aliyepiga picha na Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema akiwa amevalia sare za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (J...
-
Marekani imetoa ripoti inayozungumzia usafirishaji wa binadamu ya mwaka 2013, huku ikiitaja Tanzania kuwa kinara wa kunyanyasa wasichana...
-
Azam FC yatwaa kwa mara ya pili Kombe la Mapinduzi Azam FC imeweza kutetea kombe hilo na k u libakisha nchini katika mchezo ulitu...
No comments:
Post a Comment