MBUNGE wa Ubungo John Mnyika, ametaja majina ya watu 16 ndani ya Shirika
la Umeme Tanzania (Tanesco) ambao amewahusisha na ufisadi ndani ya
shirila hilo la umma.
Kati ya majina hayo ambayo ameyaita kuwa ni ya awamu ya kwanza wamo
baadhi ya waliokuwa watendaji wa shirika hilo ambao wamesimamishwa
kupisha uchunguzi unaofanywa na Mkaguzi na Mdhibiti wa Hesabu za
Serikali (CAG).
Alipoulizwa wiki iliyopita kuhusu uchunguzi huo, GAG Ludovick Utouh
alisema uchunguzi huo umeshakamilika na kilichokuwa kikisubiriwa ni
kuikabidhi ripoti hiyo kwa bodi ya Tanesco.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
UTARATIBU WA KUDAI FIDIA YA BIMA KWA ABIRIA ALIYEPATA AJALI (CLAIM PROCEDURE) Abiria anapaswa kuandika barua kwenda kampuni husika ya b...
-
-
-
Matokeo ya mchezo wa leo huko , Kaitaba mjini Bukoba Kagera Sugar na Yanga , Yanga imefungwa goli 1-0 dhidi ya Kagera Sugar ,goli lime...
-
No comments:
Post a Comment