Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika, hatimaye ameshinda rufaa ya kupinga ushindi wake wa Ubunge katika jimbo hilo.Hiyo ni baada ya aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Hawa Nghumbi(CCM) aliyekata rufaa dhidi ya matokeo ya ushindi wa Mnyika kuondoa rufaa yake siku ya jana. Friday, December 7, 2012
MNYIKA SASA HURU
Mbunge wa jimbo la Ubungo jijini Dar es Salaam, John Mnyika, hatimaye ameshinda rufaa ya kupinga ushindi wake wa Ubunge katika jimbo hilo.Hiyo ni baada ya aliyekuwa mpinzani wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2010 Hawa Nghumbi(CCM) aliyekata rufaa dhidi ya matokeo ya ushindi wa Mnyika kuondoa rufaa yake siku ya jana.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
INASEMEKANA huyu mwanadada ndiye aliyevunja rekodi ya watu weusi duniani maana maranyingi watu walisubiri atabasamu ili waamin...
-
Hii ndio stendi mpya iliyoanzishwa wilayani Kibondo mkoani Kigoma Stendi hii ipo nje kidogo mjini Kibondo,
-
-
Azam FC yatwaa kwa mara ya pili Kombe la Mapinduzi Azam FC imeweza kutetea kombe hilo na k u libakisha nchini katika mchezo ulitu...
-
VYAMA vya CHADEMA na CUF vimezidi kumwandama Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai, kwa hatua yake ya kuwanyanyasa na kuwadhalilisha wabunge...
No comments:
Post a Comment