Timu
ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys
wameibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya Congo Brazzaville katika mchezo
uliochezwa leo uwanja wa Taifa.
Bao pekee la Serengeti Boys limetiwa
wavuni na beki Mudathir Yahya Abbas katika dakika ya 15 kwa mpira wa
adhabu. Matokeo haya yanaifanya Serengeti Boys ihitaji ushindi au sare
ya aina yoyote katika mchezo wa marudiano ili ifuzu kwenda Morocco
katika michuano ya Afrika Mwakani.

No comments:
Post a Comment