Moira Johnston ameonekana akitembea matiti nje, bila blouse
wala sidiria (topless) katika jiji la New York, Marekani.
Moira
amethibitisha kwamba anatembea matiti nje kuikumbusha jamii kwamba
wanawake wana haki ya kutembea vifua wazi kama wanaume.
No comments:
Post a Comment