Timu
ya Young Africans hapo jana imefanikiwa kuichapa Toto African mabao 3-1 katika mchezo wa ligi kuu
ya Vodacom Tanznaia bara, mchezo uliofanyika katika Uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza. Magoli ya Yanga yalifungwa na Didier Kavumbagu, Mbuyi Twite na Jery Tegete.


No comments:
Post a Comment