Ufukara umenisababishia mimba :
“NILIAMUA kutumia kila mbinu kuficha mimba yangu ili isionekane, kwa
sababu ningelifukuzwa shule wakati mimi nilitaka kuhakikisha nafanya
mtihani wa darasa la saba ili nifaulu kwenda sekondari, lakini naona
Mungu hakupennda. Kutoka Habari leo

No comments:
Post a Comment