Monday, October 15, 2012

MITANGA AACHIWA HURU.

Mintanga aachiwa huru: MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imemuachia huru aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Ngumi nchini (BFT), Alhaji Shaban Mintanga baada ya upande wa Mashitaka kushindwa kuthibitisha mashitaka na hivyo Mahakama hiyo kumkuta mshitakiwa hana kesi ya kujibu.

No comments:

Zilizosomwa zaidi