Michuano ya kikapu kombe la taifa imeanza leo huko
jijini Tanga katika kiwanja cha CCM Mkwakwani
ambapo timu ya Tanga imekipiga na timu kutoka Pwani
na mchezo wa pili umekuwa kati ya Arusha na Lindi.
Katibu msaidizi wa shirikisho ls kikapu Tanzania TBF
Michael Malue amesema maandalizi yako vizuri sana
na mambo ni mazuri,
Amesema timu kutoka mikoa 13 zimeshawasili jijini Tanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
Wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi Dar es Salaam, wameendelea kukamatwa na kurejeshwa kwao, ambapo pia imebainika wengi walikuwa wauza k...
-
Zambia 1 - 1 Ethiopia Nigeria 1 - 1 Burkina Faso
-
picha na Riziki Mashaka.
-
Msanii maarufu wa Hip...
No comments:
Post a Comment