Friday, September 7, 2012

Wizara ya usafiri na uchukuzi imesema usafiri wa treni kwa wakazi wa jijini Dar es salaam utaanza Octoba mwaka huu. Imesemwa kuwa hata kama muundombinu huo utakuwa haujakamilika, usafiri huo lazima uanze. Shughuli za ukarabati wa rili kutoka Stesheni hadi Ubungo unaendelea vizuri.

No comments:

Zilizosomwa zaidi