Friday, September 7, 2012

Waziri mstaaf Fredrick Sumaye, amewataka polisi kuacha kutumia silaha na nguvu za ziada katika kupambana na raia bali kutumia busara. Suala hili limetokana na tabia ya polisi kuwapiga raia kwa kutumia silaha zao bila hata kujali. Chanzo:Mwananchi

No comments:

Zilizosomwa zaidi