Friday, September 7, 2012

Waziri wa ujenzi Dk John Magufuli amesema atawachukulia hatua wahandisi wote watakaobainika kukiuka maadili ya taaluma zao. Hii ni baada ya kubaini kuwa wahandisi wengi hawatumii taaluma zao kikamilifu katika utendaji wa kazi. Chanzo:Mwanachi

No comments:

Zilizosomwa zaidi