Friday, September 7, 2012

Katika hatua za kupunguza ajari nchini, serikali imekuja na vidhibiti mwendo vya kisasa. Baada ya serikali kuleta vidhibiti mwendo (speed governer) katika gari za kubeba Abiria kwa mara ya kwanza na kushindwa kufanikiwa kupunguza ajari, sasa yaamua kuleta vidhibiti mwendo vipya.

No comments:

Zilizosomwa zaidi