Friday, September 7, 2012

Miili ya wanajeshi wa kulinda amani wa Jeshi la wananchi JWTZ waliofariki wiki iliyopita huko Darfur nchini Sudan imewasili leo nchini. Baadhi ya Askari wa jeshi la wananchi wamefika kuipokea miili ya marehemu hao katika uwanja wa ndege wa Air Wing jijini Dar es salaam.

No comments:

Zilizosomwa zaidi