Saturday, September 8, 2012

Waziri wa michezo na utamaduni Bi Fenela Mkangara, amewataka watanzania kuanza kujiandaa mapema kabisa katika mashindano ya Olympik 2013. Amesema kuwa watanzania wengi hulalamika pale ambapo vijana wao wanafanya vibaya katika mashindano. Kama maandalizi yataanza mapema kuna uhakika wa kufanya vizuri katika mashindano hayo kwa mwaka 2013

No comments:

Zilizosomwa zaidi