Saturday, September 8, 2012

Wakazi wa eneo la Mlimani mkoani Morogoro wamelalamika kwa kukosa umeme kwa muda mrefu sasa japo nguzo za umeme zimepita katika eneo lao. Mpaka sasa wakazi hao wanalalamika kwa Zahanati yao kukosa Umeme hali ambayo inasababisha wazazi kujifungua watoto gizani hali ambayo ni hatari sana. Serikali inaombwa kulitatua tatizo hilo mapema iwezekanavyo.

No comments:

Zilizosomwa zaidi