Monday, September 17, 2012
Wazazi katika maeneo mbalimbali nchini wameendelea kukemea vitendo vya udanganyifu ambao huwa unajitokeza kwa wanafunzi katika kipindi cha mitihani. Waalimu na wasimamizi watakiwa kuwa makini sana katika kusimamia ili kuepusha swala la wanafunzi kuingia kidato cha kwanza wakati hawajui kusoma na kuandika.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
Bas la kampuni ya Nganga Express linalofanya safari zake za Iringa-Kilombero limegongana uso kwa uso na fuso kisha magari hayo kuteketea ...
-
Kajala Masanja. Pamoja na kutoa faini ya Sh. milioni 13 alizolipiwa na staa mwenzake wa filamu, Wema Isaac Sepetu, Kajala anat...
-
Jeshi la polisi linawasaka Mwenyekiti wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe pamoja na Mbunge wa jimbo la Arusha mjini Godbless...
-
No comments:
Post a Comment