Monday, September 17, 2012
Wakazi wa kijiji cha Kwadelo kilichopo wilayani Kondoa mkoani Dodomg walalamika kwa kukosa huduma ya maji. Richa ya kuwa Mkoa huo una asili ya ukame, serikali imewaacha solemba wakazi wa kijiji hicho kwani hata visima havijachimbwa kijijini hapo. Akiongea mkazi wa kijiji hicho ambaye jina lake halikutajwa amesema, inawalazimu wanawake kutembea umbali mrefu usikt wa manane kutafuta maji jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao. Serikali ikishirikiana na wakazi wa Kwadelo imeombwa kulishughulikia tatizo hili mapema kwani wamekuwa wakipata shida hiyo kwa mda mrefu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Zilizosomwa zaidi
-
-
(Kutoka kwa Nathani)
-
KAMBI zinazosigana ndani ya CCM zinaonekana kuchuana vikali katika uchaguzi wa ngazi ya wil...
-
Afisa mmoja mwandamizi katika wizara ya maswala ya kigeni nchini Sudan amesema kuwa mwanamke aliyepewa hukumu ya kifo kwa kubadili...
-
Wahamiaji haramu waliokuwa wakiishi Dar es Salaam, wameendelea kukamatwa na kurejeshwa kwao, ambapo pia imebainika wengi walikuwa wauza k...
No comments:
Post a Comment