Tuesday, September 11, 2012

Wachimbaji wadogowadogo wa madini kuruhusiwa Geita. Baada ya machimbo ya dhahabu yaliyopo katika kijiji cha Mgusu mkoani Geita kufungwa mwaka 2009 kutokana na ajali iliyotokea, sasa machimbo hayo yamefunguliwa na kuwaruhusu wachimbaji wadogowadogo kuanza kuchimba madini katika eneo hilo

No comments:

Zilizosomwa zaidi