Tuesday, September 11, 2012

Kata ya kipawa yakabidhiwa mdawati 500 na visima vya maji. Aliyekuwa waziri mkuu nchini, Edward Lowasa amekabidhi madawati 500 na visima viwili vya maji shule ya msingi Kinyuri iliyopo kata ya Kipawa jijini Dar es salaam. Hatua hii ni katika mpango wa kuboresha mazingira ya kupata elimu nchini.

No comments:

Zilizosomwa zaidi