Tuesday, September 11, 2012

Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Dk Ibrahim Lipumba amesema, ili kuimalisha uchumi serikali haina budi kuweka utaratibu na mfumo mzuri wa kukusanya kodi. Imefahamika kuwa sekta nyingi nchini hazilipi kodi kikamilifu na hivyo kuisababishia serikali hasara kubwa.

No comments:

Zilizosomwa zaidi